Header

OUR BLOG


February 6, 2017

MUSIC VIDEO : Madada Sita – Matobo

Madada Sita ni kundi jipya la muziki linaloundwa na Wasichana Sita kutoka katika kituo cha Mkubwa na Wanawe Madada kwa majina ni  Emmy Wimbo, Favellritto,Ninaah, Lizzy, Love mams na Catrima.Tazama Video ya wimbo wao wa kwanza 'Matobo' hapa chini https://youtu.be/OzNxZA9FDQ8

February 06, 2017 0