Interview

February 13, 2018
Dicky Ability kuachia nyingine kutoka kwa Sheddy Clever, Autamani mkono wa Director Hansacana
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Dickson Ramadhan a.k.a Dicky Ability ametangaza ujio mwingine ndani ya miezi mmoja ujao baada ya kuachia ‘Tamu Yangu’ iliyofanyika chini ya utayarishaji wa Sheddy Clever kutoka Burn Records ambapo video ya wimbo ... Read More »
February 13, 2018 0

February 9, 2018
King Fanatic adondosha ya kwanza na Staa wa Dancehall ‘Lord Fenda’
Msanii wa muziki kutoka DR.Congo mwenye makazi yake yake nchini Uholanzi King Fanatic ameachia kazi yake ya kwanza kwa mwaka 2018 kwa jina ‘Tricky Situation’ akiwa ameshirikiana na Mwimbaji wa miondoko ya Dancehall Lord Fenda. Kazi hiyo mpya iliyotayarishwa chini ... Read More »
February 09, 2018 0

February 8, 2018
Diamond Platnumz ashiriki kuandika simulizi ya video katika wimbo wa Mbosso ‘Watakubali’
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Naseeb Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz ameendelea kukitumia kipaji chake cha sanaa kama muongozaji wa video za nyimbo katika wimbo mpya wa msanii mpya wa WCB Wasafi Mbosso ‘WATAKUBALI’. Akielezea alichokifanya katika ... Read More »
February 08, 2018 0

December 18, 2017
DOGO RICHIE- SIASA YA NCHINI KENYA IMEFUNIKA MUZIKI!
Msanii Dogo Richie ambaye kwasasa anavuma vizuri nchini Kenya kupitia muziki wake, amefunguka nakusema kuwa kipindi kizima cha uchaguzi wa nchini Kenya wasanii wamepitia wakati mgumu. Akiongea na kituo cha habari cha Swahiba 102.9 FM kilickoka kisiwani Zanzibari, Richie ... Read More »
December 18, 2017 0

December 14, 2017
Aime M ajipanga kwa jicho la kuudandia muziki wa Bongo Fleva
Aime M. baada ya kufanya vizuri na kazi yake 'Cheza', ameanza kujipanga na mashabulizi mapya yaliyepangwa kuoneakana mwanzoni mwa mwaka 2018 huku akisisitiza kuwa kimuziki kwa sasa ameanza kulitazama zaidi soko la Afrika Mashariki hasa nchi ya Tanzania na ... Read More »
December 14, 2017 0

November 3, 2017
Aslay awadanganya mashabiki kumtetea Enock Bella
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mkali wa ngoma 'Natamba' Aslay ameonekana kuwa msanii aliyediriki kuwadanganya mashabiki kwa mgongo wa ndoa kama njia pekee ya kuutetea ujio wa kazi mpya ya msanii mwenzake Enock Bella. Itakumbukwa kuwa kati ya ... Read More »
November 03, 2017 0

October 28, 2017
Gaga Blue awachanganya Young Dee na Amber Lulu
Staa wa kizazi cha muziki kutoka nchini Burundi anayefanya kazi chini ya usimamizi wa lebo ya muziki ya ‘U&I', Gaga Blue amefanikisha kuwatumia mastaa wawili wa Tanzania waliopata kuzungumziwa zaidi takrinani kwa kipindi chote ambacho walikuwa katika mahusiano ya ... Read More »
October 28, 2017 0

October 24, 2017
Barnaba agusia chimbuko la kupewa heshima kama muandishi, Atoa orodha ndefu ya mastaa wa kike
Staa wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Barnaba Elias 'Barnaba Boy' amezungumzia ukweli unaobeba thamani ya uwezo wake katika uandishi na utunzi wa nyimbo na kiwango cha heshima anayopewa na wengi walioshuhudia na wanaoshuhudia uwezo wake katika kizazi cha muziki ... Read More »
October 24, 2017 0

October 7, 2017
Jackie Chan kumsikiliza Chris Tucker kuhusu muendelezo wa ‘Rush Hour’
Muigizaji maarufu Chan Kong-sang 'Jackie Chan' amethibitisha kuwa muendelezo wa filamu ya yake na Chris Tucker 'Rush Hour' Sehemu ya 4, utaanza kutengenezwa mapema mwakani(2018). Akizungumza na The Cruz Show ya Power 106 FM ya nchini Marekani Jackie Chan amethibitisha taarifa hizo ... Read More »
October 07, 2017 0

September 27, 2017
Mzee Chillo akiri pengo la Steven Kanumba na kutoa njia ya kuiokoa Bongo Movie
Msanii mkongwe wa sanaa ya maigizo kutoka Tanzania Ahmed Olotu anayefahamika zaidi kwa jina la Mzee Chillo amekanusha maoni ya wengi ya kuwa tasnia ya filamu na maigizo Tanzania imekufa kwa kuwakosa baadhi ya waigizaji na waongozaji akiwemo muigizaji ... Read More »
September 27, 2017 0

August 28, 2017
Harufu ya Chanda Chema kuvishwa Pete yanukia kwa Diamond Platnumz na mpenziwe Zari
Staa wa ngoma ya 'Eneka' Naseeb Abdlu a.k.a Diamond Platnumz ameonesha dalili za kupiga hatua ya mahusiano yake na mpenzi wake Zari The BossLady aliyewasili Tanzania siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita. Kupitia mtandao wa Instagram akaunti ya Diamond Platnumz ... Read More »
August 28, 2017 0

August 26, 2017
Exclusive: Matonya aelezea kikubwa kilichomsukuma kufunguka kuhusu ‘Zilipendwa’ ya WCB (Video)
Kutoka Tanzania Staa wa ngoma ya 'Vailet' Matonya ameibuka na maneno yake kuelekea wimbo mpya wa wasanii wa WCB Wasafi kwa malalamiko yakilenga kufanana kwa wazo la wimbo wa 'Zilipendwa' na wimbo wake wa zamani. Matonya ambaye kwa sasa yuko ... Read More »
August 26, 2017 0