Header

Interview


April 27, 2017

Ray C amtamani tena Chid Benz

Msanii wa muziki wa bongo fleva mwenye ujio wa ngoma mpya inayokwenda kwa jina ‘Unanimaliza’ Rehema Chamamilla a.k.a Ray C ameonesha hamu na nia ya kutaka kufanya kazi na rapa Chid Benz. Chid Benz Akizungumza na Dizzim Beats ya Dizzim ... Read More »

April 27, 2017 0April 2, 2017

Mwasiti na skendo ni chui na paka

Msanii wa kike mkongwe wa bongo fleva kutoka Tanzania Mwasiti Almas ametoa sababu kubwa zinazompa heshima kama msanii nje ya kufanya kazi nzuri za muziki. Akizungumza na Dizzim Online Mwasiti amesema kuwa anawashukuru mashabiki na watu wake wa karibu wanampatia ... Read More »

April 02, 2017 0