Header

Interview

April 1, 2017

Lady JayDee awazibua masikio wasanii

Msanii na mkongwe wa Bongo Fleva Judith Wambura a.k.a Lady JayDee ambaye usiku wa kuamkia leo amefanya uzinduzi wa album yake ya saba inayokwenda kwa jina la WOMAN ameuzungumzia mtazamo na uoga wa wasanii kuogopa kufanya album mbali muamko ... Read More »

April 01, 2017 0


April 1, 2017

Vanessa akumbuka machozi ya Lady JayDee

Msanii wa Bongo fleva Vanessa Mdee a.k.a The Original Cash Madam aitaja show yake ya kwanza ya msanii wa Bongo kuihudhuria kipindi ambacho hakuwa ameingia rasmi katika muziki kama msanii. Akizungumza na Dizzim Online Vanessa amesema kuwa kumjua kwake na ... Read More »

April 01, 2017 0