Header

Interviews

All posts under Interviews is in this page.June 1, 2017

Maua Sama aonywa juu ya Madawa ya kulevya

Msanii wa muziki kizazi kipya,staa wa muziki wa reggae na hitmaker wa ngoma ya ‘Main Chick’ kutoka Tanzania ‘Maua Sama’ amefichua kikubwa ambacho wazazi wake umhasa zaidi katika maisha yake na kufanya muziki. Akizungumza na Dizzim Online Maua amesema kuwa ... Read More »

June 01, 2017 0

April 27, 2017

Ray C amtamani tena Chid Benz

Msanii wa muziki wa bongo fleva mwenye ujio wa ngoma mpya inayokwenda kwa jina ‘Unanimaliza’ Rehema Chamamilla a.k.a Ray C ameonesha hamu na nia ya kutaka kufanya kazi na rapa Chid Benz. Chid Benz Akizungumza na Dizzim Beats ya Dizzim ... Read More »

April 27, 2017 0