Music Audios

February 14, 2018
Nyashinski arusha mkuki wa Mapenzi kwa Mashabiki ‘Valentine’s Day’
Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Nyamari Ongegu ‘Nyashski’ amewapa mashabiki zawadi ya wimbo wenye maudhui ya kimapenzi katika siku ya wengi kuonesha mapenzi kwa wawapendao na kuwajali ‘Valentine's Day’. Staa huyo wa ngoma ya ‘Malaika’, ameachia ngoma yake mpya ... Read More »
February 14, 2018 0

February 14, 2018
Fantasia Barrino apata Msiba wa Mpwa wake aliyepigwa Risasi
Staa wa muziki wa RnB kutoka Marekani, Fantasia Monique Taylor ‘Fantasia Barrino’ ni masikitoko yake makubwa kunazia siku ya jana kwa msimba wa kumpoteza Mpwa wake Tyquan ‘Ty’ aliyeshambuliwa na wanaodaiwa kuwa ni waharifu. Kwa mujibu wa vyanzo vya utekelezaji ... Read More »
February 14, 2018

February 14, 2018
Q Boy ataitumiaje ‘Siku ya wapendanao’, Ametujibu hapa
Siku ya Kumbu kumbu ya kuzaliwa kwa Mbunifu wa mitindo na Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya ‘Q Boy’ inaweza kutumika katika pande mbili katika maisha yake. Akiwa na mpenzi wake wanaweza kusherehekea ‘VALENTINES DAY’ lakini kama kimahusiano atakuwa ... Read More »
February 14, 2018 0

February 13, 2018
Chemical amlambisha asali Producer Maxmizer mchana kweupe
Mrembo na mkali wa muziki wa Rapa kutoka Tanzania, Chemical amelegeza mkanda wa alichobana kwa muda mrefu na tena kwa mara hii imekuwa ni mbele ya kamera kwa Mtayarishaji Maxmaizer ambapo imeonekana kuwa alishikwa vilivyo. Chemical amekuwa ni mwenye kusimamia ... Read More »
February 13, 2018 0

February 13, 2018
Beka Flavour akataa kufugwa kimapenzi, Aimba kwa msisitizo wa kula jasho lake
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Bakari Katuti a.k.a Beka Flavour amekataa kila tabia ya maisha ya kimapenzi ya kuishia kupewa huduma za mahitaji yake na kusubiria aletewe kila kitu na mpenzi wake ‘Kibenteni’. Staa huyo wa ngoma ... Read More »
February 13, 2018 0
Saida Karoli na Hanson Baliruno waachia kolabo zao kwa kupokezana
Mkongwe wa muziki wa asili na tamaduni ya kabila la Magharibi mwa Tanzania, Saida Karoli ameachia wimbo mpya akiwa ameshirikiana na Mwimbaji wa kiume wa nyimbo za aina yake anayefanya vizuri kutoka nchini Uganda ‘Hanson Baliruno’ na ipo nyingine ... Read More »
February 13, 2018 0

February 13, 2018
Willy Paul baada ya Ushawishi, kudonosha Malingo
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido a.k.a Willy Paul ameweka picha ya kava ya wimbo wake mtadaoni na kutangaza kuwa video ya wimbo wake huo unaotegemewa kwa jina ‘Malingo’ inatoka hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake ... Read More »
February 13, 2018 0

January 8, 2018
KIVURUGE YA NANDY INAVYOVURUGA MITAA KENYA!
Mwanadada na nguli wa vokali kali kwenye uga wa muziki kutoka hapa Tanzania almaarufu Nandy, huenda mwaka huu wa 2018 ukawa mwaka wake wa nema. Hii inatokana na kukubalika sana hadi na majirani nchini Kenya, naandika makala haya kutoka ... Read More »
January 08, 2018 0

January 5, 2018
Nini na Nay wa Mitego wajibizana kimahaba
Rapa na muanzilishi wa lebo ya Free Nation kutoka Tanzania, Nay Wa Mitego ameufungua mwaka kwa ngoma ya mahaba aliyoshirikishwa na Mrembo Mwimbaji kutoka Tanzania ‘Nini’ ambaye walishasemekana kuwa wanatokana kimapenzi. Ngoma hiyo inayokwenda kwa jina 'Niwe Dawa’ iliyotayarishwa chni ... Read More »
January 05, 2018 0

December 29, 2017
Rayvanny apokea kwa mikono miwili Baraka za mkongwe ‘Hussein Jumbe’
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania,Raymond Shaban Mwakyusa 'Rayvanny' ameachia wimbo mwingine mpya unaokwenda kwa jina la 'SIRI' uliomshirikisha rapa Nikki Wa Pili chini ya utayarishaji wa Laizer Classic wa Studio za WCB Wasafi, wimbo ambao katika ... Read More »
December 29, 2017 0

November 28, 2017
Diamond Platnumz ashindwa kukaa kimya tena, aimba tatizo lake kwenye mahusiano
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya wenye simulizi ya kinachomshinda katika kuishi maisha ya mahusiano ambapo hakuacha kusimuliza juu ya tukio lililotokea mpaka kupata mtoto wake wa tatu 'Prince Abdul' kwa ... Read More »
November 28, 2017 0

October 24, 2017
New Music: Sappy f/ Cecile – Make You Mine
Sikiliza ngoma mpya ya mtayarishaji wa muziki wa Sappy Music Lab, Dr Sappy aliyomshirisha malkia wa dancehall nchini Jamaica, Celine. Inaitwa Make You Mine. Isikilize hapo chini. https://www.youtube.com/watch?v=SAWzGri7EDc&feature=youtu.be
October 24, 2017 0