Header

Music Audios

October 24, 2017

New Music: Sappy f/ Cecile – Make You Mine

Sikiliza ngoma mpya ya mtayarishaji wa muziki wa Sappy Music Lab, Dr Sappy aliyomshirisha malkia wa dancehall nchini Jamaica, Celine. Inaitwa Make You Mine. Isikilize hapo chini. https://www.youtube.com/watch?v=SAWzGri7EDc&feature=youtu.be

October 24, 2017 0


May 14, 2017

Video Mpya: Babbi – Til I Die

Hii ni video ya msanii Babbiya wimbo wake Til I Die iliyoongozwa na Dang Films na wimbo kutayarishwa na David wa Future Records. https://www.youtube.com/watch?v=c20FB0zse90&feature=youtu.be

May 14, 2017 0