Header

Music Videos


August 14, 2017

Video Mpya: Fid Q – Fresh

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Fid Q ameachia kazi mbili, moja wapo ikiwa ni hii Fresh. Tazama kichupa chake. https://www.youtube.com/watch?v=MM5CYmTP0M8

August 14, 2017 0


July 25, 2017

Video Mpya: Naj – Utaelewa

Baada ya kimya cha muda mrefu, Naj ameachia kazi yake mpya na ya kwanza chini ya label yake na mpenzi wake Barakah The Prince, BANA Music. Ngoma imetayarishwa na Man Walter na video kuongozwa na Msafiri wa Kwetu Studios. https://www.youtube.com/watch?v=RoO-pTWwHy0&feature=youtu.be

July 25, 2017 0