Header

Music VideosMay 17, 2017

Video Mpya: Nyashinski – Malaika

Rapper wa Kenya Nyashinski ameacha video ya wimbo wake Malaika ambao anaonesha uwezo mkubwa katika kuimba. Wakenya wameusifia sana wimbo huu kutoka na jinsi ulivyoandikwa. https://www.youtube.com/watch?v=CaQKtZQCLBY

May 17, 2017 0


May 13, 2017

Video Mpya: Bongolos f/ Asteria Mvungi – Wape

Kundi la muziki lililo chini ya label ya Bongo Records, Bongolos, limeachia ngoma mpya iitwayo Wape. Ngoma imetayarishwa na P-Funk Majani huku video ikiongozwa na Karabani. https://www.youtube.com/watch?v=7tk8vMtumsw&feature=youtu.be

May 13, 2017 0


May 12, 2017

Video Mpya: Chaba f/ J Deal- Mwanangu

Rapper wa Arusha, Chaba ameachia video ya wimbo wake Mwanangu akimshirikisha J Deal. Wimbo umetayarishwa na Black Beats na video kuongozwa na Cyne studios. Wimbo huu ni dedication kwa mwanae wa kiume, Thomson. Wimbo unapatikana kwenye album yake ... Read More »

May 12, 2017 0