Header

Music Videos


March 4, 2017

MUSIC VIDEO: Heri Music -Sweet Love

Mapenzi hayana kificho kabisa hususani kwa yule unaempenda kwa dhati kwani huenda Heri Music wimbo huu wa 'Sweet Love' kamuandikia mpenzi wake Diva The Bawse kwani wawili hao mapenzi yao sasa yapo mubashara hakuna kificho tena Mhhhh! Tazama Video ... Read More »

March 04, 2017 0March 2, 2017

MUSIC VIDEO: Wizkid – Sweet Love

Mapema baada ya kutangaza kusainiwa na Sony Music Global Wizkid ameachia wimbo wa Kwanza akiwa chini ya Sony unaoitwa 'Sweet Love' na wimbo huo umeunganishwa vipande vya karibia nchi sita ambazo amesha wahi kuperfom.Tazama video hiyo hapa chini https://youtu.be/yFTaNokK4cU

March 02, 2017 0


March 1, 2017

MUSIC VIDEO: Mwasiti – Kaa Nao

Tazama video ya wimbo wa 'Kaa Nao' wa Mwasiti video ya wimbo huu imeongozwa na Directot Ivan.Tazama kichupa hicho hapa chini na kisha toa maoni yako. https://youtu.be/JBsJtBhWHHE

March 01, 2017 0February 25, 2017

MUSIC VIDEO: Rosa Ree – Up In The Air

Rapa Rosa Ree kutoka The Industry inayosimamiwa na Aika na Nahreel ameachia video ya wimbo wake mpya wa pili ‘Up In The Air' Video imeongozwa na Hanscana.Tazama video hapa chini kisha toa Maoni yako https://youtu.be/GOrhOW03MpM  

February 25, 2017 0