Header

Music Videos

February 18, 2017

MUSIC VIDEO: Nandy – One Day

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa 'Gusa Gusa' Nandy ameleta tena balaa nyingine na Video ya wimbo wake mpya wa 'One Day'.Utazame hapa chini kisha toa maoni yako https://youtu.be/JWyovRzld1I

February 18, 2017 0February 17, 2017

MUSIC VIDEO: Alikiba Ft. M.I – Aje Remix

Msanii wa Bongo Fleva Alikiba baada ya kufanya vizuri na wimbo wa 'Aje', ameachia rasmi Video mpya ya wimbo wa “Aje Remix”, akiwa amemshirikisha msanii M.I kutoka Nigeria. Tazama hapa chini kisha toa comment yako. https://youtu.be/DtoRQXXjJSI  

February 17, 2017 0