Header

Music VideosSeptember 28, 2017

Video Mpya: Madee f/ Nandy – Sema

Madee ameachia video ya wimbo wake mpya Sema aliomshirikisha Nandy. Kwenye video hiyo iliyoongozwa na Khalfani, Dogo Janja ndiye ameiigiza na Madee haonekani. Wimbo umetayarishwa na Daxo Chali wa MJ Records. https://www.youtube.com/watch?v=Uptt1RU7tls&feature=youtu.be

September 28, 2017 0

August 25, 2017

Olamide ajitetea mikononi mwa Wizazra ya afya Nigeria

Rapa kutoka Nigeria, Olamide Adedeji a.k.a Olamide baada ya kuigia katika msumeno wa Wizara ya Afya ya nchini Nigeria kwa kuzuia vituo vya matangazo kucheza nyimbo kadhaa ilikiwemo 'Wo' amezungumzia mzozo huo unaoizungumzia zaidi video ya wimbo wake. https://twitter.com/Fmohnigeria/status/898568458161586178 Olamide amejitete ... Read More »

August 25, 2017 0