Header

Music Videos
November 7, 2017

Video Mpya: Wahu – Sifa

Msanii wa Kenya, Wahu ameachia kazi mpya ya gospel iitwayo Sifa. Amesema aliandika wimbo huu wakati alipokuwa katika kipindi kigumu zaidi maishani na kwamba badala ya kuandika wimbo unaogusa maisha hayo aliamua kutunga wimbo wa furaha na kumsifu Mungu. https://www.youtube.com/watch?v=YtoqI2FuzeU&feature=youtu.be

November 07, 2017 0