Header

Music Videos
January 17, 2018

Video Mpya: C-Sir Madini – Niambie

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, muimbaji toka Mwanza, C-Sir Madini amerejea tena na ngoma mpya chini ya label mpya, Bambika Music. Wimbo unaitwa Niambie na umetayarishwa na Mr T Touch huku video ikiongozwa na Joowzey. https://www.youtube.com/watch?v=R-wrsyWVWAk&feature=youtu.be

January 17, 2018 0