Header

Music Videos


July 25, 2017

Video Mpya: Naj – Utaelewa

Baada ya kimya cha muda mrefu, Naj ameachia kazi yake mpya na ya kwanza chini ya label yake na mpenzi wake Barakah The Prince, BANA Music. Ngoma imetayarishwa na Man Walter na video kuongozwa na Msafiri wa Kwetu Studios. https://www.youtube.com/watch?v=RoO-pTWwHy0&feature=youtu.be

July 25, 2017 0July 8, 2017

Video Mpya: Coyo – Itakucost

Kazi mpya kutoka kwa rapper Coyo, Itakucost. Ngoma imetayarishwa na Day Dream akishirikiana na Kidboy kupitia Tetemesha Records. Video imeongozwa na Destrofx wa Wanene Entertainment. https://www.youtube.com/watch?v=BjmwIhw2GvQ&feature=youtu.be

July 08, 2017 0
July 2, 2017

Video Mpya: Izzo Bizness – Rafiki

Izzo Bizness amekasirika na amelazimika kutema sumu kali kwenye jiwe jipya liitwalo Rafiki kuwachana snitches wote. Hii ni project yake ya kwanza akiwa mwenyewe tangu aanzishe kundi lake, The Amazing japo mrembo wake Abela Music hajamuacha anayesikika kwa ubora ... Read More »

July 02, 2017 0


July 2, 2017

Video Mpya: Zaiid – Umeme Umerudi

Zaiid ameiweka michano pembeni kidogo na kudondosha melody kwenye ngoma yake mpya, Umeme Umerudi. Video hii inayomuonesha akiwa mbugani na morani wa Kimasai, imeongozwa na Inno Mafuru. Enjoy. https://www.youtube.com/watch?v=Bo12cK6Tmew&feature=youtu.be

July 02, 2017 0