Header

Others


August 27, 2018

New Music Video: Marioo – Manyaku

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Muandishi wa nyimbo Tanzania, Marioo ameachia video ya wimbo wake kwa jina 'Manyaku' nchini ya uongozwaji wa Director Hanscana. Itazame Video ya wimbo huu mpya wa Marioo 'Manyaku'.   https://www.youtube.com/watch?v=PIgmVc6sDaY

August 27, 2018 0