Header

OthersRayvanny atupia taarifa za kolabo yake na Nasty C

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na Staa wa ngoma ya ‘Makulusa’ kutoka Tanzania, Raymond Shaban Mwakyusa a.k.a Rayvanny amethibitisha kuwa ana kolabo na rapa kutoka Afrika Kusini, Nasty C kupitia video waliyoonekana wakiwa Studio za Wasafi Records. Rayvanny anayefanya ... Read More »

March 21, 2018 0


Wastara afunguka kuhusu kuingia kwenye Muziki

Msanii wa Bongo Movie Wastara Juma amezungumzia kuhusu yeye kufanya muziki kwa mara nyingine tena baada ya kuachia wimbo wa 'Mama na Mwana'. Akizungumza na Dizzim Online Msanii huyo ambae kwasasa amekuwa balozi wa Africa kupitia shirika la 'Asov' lililopo ... Read More »

March 16, 2018 0