Header

Others


April 22, 2017

Director Joowzey aililia serikali

Muongozaji wa video za muziki kutoka nchini Tanzania  'Joowzey' ametoa kilio chake kwa serikali juu ya changamoto wanayokumbana nayo kwenye kazi zao kama waongozaji. Akizungumza na Dizzim Online Joowzey amesema kuwa vipo vitu vingi ambavyo vyombo husika vinahitaji kutoa ushirikiano ... Read More »

April 22, 2017 0

April 21, 2017

Timmy Tdat na Sudi Boy wakutana tena

Kutoka nchini Kenya ni wasanii wawili ambao walishakutana katika kolabo ya pamoja iliyokwenda kwa jina 'Iromo' na mara hii imeonekana kazi ya awali iliwanogea na wakachukua maamuzi ya kuonesha bado uwezo wa kufanya mengi zaidi ya pamoja upo. Timmy Tdat ... Read More »

April 21, 2017 0April 20, 2017

Kadinda amtembelea Samata

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ambaye leo ataiongoza klabu yake Genk kwenye mchezo wa raundi ya pili leo hii  baad ya mchezo wa kwanza kuchapwa goli 3-2 nchini Hispaini. Samatta juzi alipata ugeni wa kutembelewa na ... Read More »

April 20, 2017 0