Header

Others


March 30, 2017

Shamsa Ford atangaza hali ya hatari

Muigizaji Shamsha Ford na mke halali wa mfanyabishara maarufu jijini Dar Es salaam  Chid Mapenzi awalilia watanzania waliohusika katika kuibiwa kwa account yake ya Instagram. Kupitia ukursa wa ndugu yake wa kiume mwenye makazi yake China Wabogojo Ford ilipostiwa video ... Read More »

March 30, 2017 0


March 30, 2017

Idris Sultan ampa pole mama yake Harmonize

Muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan aendeleza timbwili la kurushiana maneno mtandao kwa msanii wa Bongo Fleva Harmonize baada ya mzozo huo kushamili hapo jana. Harmonize alijibu post ya Idris Sultan kwa maneno yaliyoonesha kuwepo kwa kutoelewana na mapema asubuhi hii ... Read More »

March 30, 2017 0

March 29, 2017

Kenrazy kubadili muziki wake

Rapa wa muziki wa Ghipuka kutoka Kenya Kenneth Aketch Oluoch a.k.a Kenrazy ametoa sababu za kwanini atabadilisha mfumo wa uandishi katika muziki wake kwa lengo la kujitunzia heshima. Akielezea mabadiliko hayo Kenrazy amesema kuwa amefanya maamuzi hayo kwasababu anaamini mtoto ... Read More »

March 29, 2017 0