Header

Uncategorized

May 7, 2018

New Music Video: Babbi – Mbwira

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi mwenye makazi yake mjini Phoenix, jimbo la Arizona nchini Marekani, Bahati Bwingi a.k.a Babbi Music ameachia video ya wimbo wake 'Mbwira' ambayo utayarishaji umekamilishwa na Prodyuza Mr. T Touch kutoka nchini Tanzania. Video ya ... Read More »

May 07, 2018 0
April 30, 2018

Jaguar na Prezzo warudisha amani na Upendo

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi a.k.a Jaguar na msanii mwenzake Jackson Makini a.k.a 'Prezzo' wamemaliza tofauti zao za muda mrefu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jaguar aliweka picha ya pamoja akiwa na Prezzo na kuthibitisha kuwa ... Read More »

April 30, 2018 0