Header

Uncategorized

June 28, 2018

MULTICHOICE TANZANIA YAWEKA NGUVU KWENYE RIADHA

 MultiChoice Tanzania imetangaza kuendelea kudhamini mchezo wa riadha hapa nchini huku ikisaini makubaliano maalum ya kumdhamini mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi. Udhamini huo unahusisha fedha ya kujikimu kwa mawanariadha huyo na mafunzo yake na wanariadha wengine katika kambi maalum ... Read More »

June 28, 2018 0
MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutoka na muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza kuongelea upande wake wa pili na kuweza kuyawasilisha kama ifuatavyo. Infinix HOT 6 ni simu iliyoboreshwa zaidi katika vionjo vya ... Read More »

June 20, 2018 0


TECNO SPARK 2, Angaza Nyakati za Maisha yako.

TECNO inafanya vizuri sana kwenye soko la ‘smartphone’ Tanzania. Hii inajidhihirisha kutokana na jinsi simu ya Spark ilivyofanya vyema mwaka jana. Mwaka huu TECNO wamekuja na Spark 2 ambayo imeboreshwa zaidi maalum kabisa kwa ajili yako wewe. Imekuja na umbo ... Read More »

June 19, 2018 0TECNO POUVOIR 2 UHAKIKA WA CHAJI NDANI YA MASAA 96.

Pamoja ya kuwa kampuni inayosifika katika uzalishaji wa simu zinazotunza chaji, kampuni ya simu ya TECNO imeendelea kudhihirisha ubora wake kwa mara nyengine tena kupitia TECNO pouvoir 2 (TECNO LA7) ikiwa ni muendelezo wa ‘TECNO L series’ yenye betri ... Read More »

June 12, 2018 0


Infinix HOT 6: SIMU YENYE LADHA YA MZIKI.

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania na kuweza kujitambulisha rasmi mwaka huu jijini Dar es Salaam. Infinix Mobility kama inavyotambulika kwa jina ndani ya muda mfupi imeweza kuwaridhisha wa Tanzania ... Read More »

June 05, 2018 0