Header

Uncategorized


February 13, 2017

MUSIC VIDEO: P-Square – Away

Kundi la Mapacha wawili P-Square kutoka Nigeria baada kufanya vizuri na wimbo wao “Bank Alert”, wameachia video ya wimbo wao mpya wa “Away”.Tazama video hiyo hapa chini kisha toa maoni yako https://youtu.be/Xl9VNPzodcY  

February 13, 2017 0