Header

UncategorizedMarch 14, 2017

Mourinho awabwatukia mashabiki wa Chelsea

Kocha mkuu wa Klabu ya Manchester United Jose Mourinho amevunja ukimya kwa kuwajibu mashabiki wa Chelsea ambao walikuwa wanamzomea wakati mchezo kati ya Klabu ya Manchester United na Chelsea. Akiongea mapema baada ya mechi jana Mourinho amesema kufungwa kwake sio ... Read More »

March 14, 2017 0

March 14, 2017

Lamar atoa ushauri kwa Maproducer wa Bongo

Producer lamar kutoka Fishcrab Records ni moja ya maproducer bora ambao wameupeleka muziki wetu sehemu fulani mpaka hivi sasa kwani hakuna asiyejua ukali wake kwenye midundo na awamu hii kaja na ushauri kwa maproducer wenzake. Lamar  kupitia kipindi cha Planet ... Read More »

March 14, 2017 0