Header

Uncategorized

February 2, 2017

Frank Lampard astaafu kucheza Soka

Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Kiungo wa Timu ya Taifa ya Uingereza Frank Lampard ametangaza rasmi kutandika Daluga na kusalia kuwa mtazamaji na kuchukua mafunzo ya Ukocha. Frank Lampard amenyakua mataji matatu ya EPL,Makombe manne ya FA,vikombe viwili vya ... Read More »

February 02, 2017 0February 2, 2017

Peter Crouch aweka rekodi hii EPL

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Peter Crouch anaekipiga Stoke City kwasasa,ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa 26 wa Ligi kuu ya Uingereza EPL kufikisha magoli 100. Goli lake la jana dhidi ya Everton limemuingiza mchezaji huyo kwenye Orodha hiyo ndefu ... Read More »

February 02, 2017 0


February 2, 2017

Messi,Suarez waiadhibu Atletico Madrid

Klabu ya Barcelona jana ilikabiliana na Atletico Madrid katika mzunguko wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Copa del Rey katika dimba la Vicente Calderon. Mchezo huo ulimalizika kwa Atletico Madrid kuchapwa 2-1 huku magoli ya Barcelona yakifungwa na ... Read More »

February 02, 2017 0


February 2, 2017

Matokeo ya Mechi za jana Usiku za EPL

Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto,Mtanange kati ya Westham na Man City uliisha kwa wagonga nyundo yaani Westham kuchapwa 4-0,Stoke City 1-Everton 1 Ambapo kwenye mchezo huo mshambuliaji wa stoke Peter Crouch ... Read More »

February 02, 2017 0


February 2, 2017

Misri watinga Fainali za AFCON

Mafarao Misri imeweka rekodi kwa kufanikiwa kufuzu kwa mara ya tisa katika fainali za kombe la Afrika baada ya kuishinda Burkina Faso 4-3 katika mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1. Mlinda lango wa miaka mingi Essam El Hadary ... Read More »

February 02, 2017 0