Header

Uncategorized
February 2, 2017

MUSIC VIDEO : Dulla Makabila – Makabila

Kwa wapenzi wa Muziki wa kisingeli basi naamini lazima utakuwa unamfahamu Dulla makabila kwani wimbo wake huo umesikika vya kutosha kwenye Media na hapa amekuletea kichupa cha wimbo wake huo huo wa Makabila  https://youtu.be/br385XrlzZI

February 02, 2017 0
February 2, 2017

Frank Lampard astaafu kucheza Soka

Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Kiungo wa Timu ya Taifa ya Uingereza Frank Lampard ametangaza rasmi kutandika Daluga na kusalia kuwa mtazamaji na kuchukua mafunzo ya Ukocha. Frank Lampard amenyakua mataji matatu ya EPL,Makombe manne ya FA,vikombe viwili vya ... Read More »

February 02, 2017 0February 2, 2017

Peter Crouch aweka rekodi hii EPL

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Peter Crouch anaekipiga Stoke City kwasasa,ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa 26 wa Ligi kuu ya Uingereza EPL kufikisha magoli 100. Goli lake la jana dhidi ya Everton limemuingiza mchezaji huyo kwenye Orodha hiyo ndefu ... Read More »

February 02, 2017 0