
April 12, 2018
MSANII BEKA the BOY AKITA KAMBI NAIROBI KWA AJILI YA UZINDUZI WA KIBAO NYOTA!
Nyota ya msanii Beka the Boy ambaye chimbuko lake ni pwani ya Kenya, inazidi kung'aa hii ni baada ya kupata usimamizi tabithi chini ya lebel yake ya Double B. Beka ambaye vibao vyake Niko Low, Siri ya moyo, Jidai ... Read More »
April 12, 2018 0

April 12, 2018
BAHATI AMTAMBULISHA MSANII MPYA KUPITIA LEBO YAKE YA EMB!
Msanii wa nyimbo za injili kutoka Kenya Kevin Bahati a.k.a Bahati Tena, jana usiku katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi Kenya aliweza kumtambulisha msanii wake wa tatu chini ya uongozi wa record lebel yake ya EMB (Eastlands Most Beloved). ... Read More »
April 12, 2018 0

April 11, 2018
Wahu aweka nyingine juu ya Uokovu wake baada ya ‘SIFA’
Msanii wa mziki kutoka nchini Kenya na mke wa Msanii David Mathenge a.k.a Nameless, Wahu Kagwi 'Wahu’ baada ya kutangaza kuokoka rasmi mwaka jana, ameachia video ya wimbo wake mpya wa Injili baada ya wimbo wa ‘SIFA’ uliotoka mwaka ... Read More »
April 11, 2018 0

April 9, 2018
Abela Music apata watoto mapacha, Mmoja apewa jina la Izzo Bizness
Msanii kutoka katika kundi la muziki la ‘The Amaizing’, Abela Music amejifungua watoto mapacha na mtoto mmoja kati ya watoto hao wawili amepewa jina halisi la msanii wa muziki anyeunda kundi hilo Izzo Bizness ‘Emmanuel’. Abela Music Abela kupitia ukurasa ... Read More »
April 09, 2018 0