Header

UMUHIMU WA SPARK 2 KWA WATANZANIA.

Suala la ulinzi wa siri kwa watumiaji simu janja imekua ni tatizo hasa kwa watanzania kutokana aina nyingi za security kuzoeleka na kumfanya mtumiaji siri zake kuvuja pindi simu inapoibiwa au kuwa mikononi mwa mtu asiyemuaminifu. Na kutokana na hali ... Read More »

June 13, 2018 0


TECNO POUVOIR 2 UHAKIKA WA CHAJI NDANI YA MASAA 96.

Pamoja ya kuwa kampuni inayosifika katika uzalishaji wa simu zinazotunza chaji, kampuni ya simu ya TECNO imeendelea kudhihirisha ubora wake kwa mara nyengine tena kupitia TECNO pouvoir 2 (TECNO LA7) ikiwa ni muendelezo wa ‘TECNO L series’ yenye betri ... Read More »

June 12, 2018 0


June 12, 2018

Je, Ben Pol na Dully Sykes ni kolabo??

Mkongwe na Staa wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes anaonekana kuwa karibu na hitmaker wa wimbo 'Phone', Ben Pol na kuna uwezekano wa wawili hawa kushirikiana kikazi. Kwenye Ukurasa wa Instagram, Ben Pol ambaye jina lake kamili ni Benard Michael ... Read More »

June 12, 2018 0