Header

Infinix HOT 6: SIMU YENYE LADHA YA MZIKI.

Hivi karibuni kampuni ya simu ya Infinix ilifanikiwa kupenya katika soko la simu nchini Tanzania na kuweza kujitambulisha rasmi mwaka huu jijini Dar es Salaam. Infinix Mobility kama inavyotambulika kwa jina ndani ya muda mfupi imeweza kuwaridhisha wa Tanzania ... Read More »

June 05, 2018 0INASEMEKANA TECNO KUJA NA TECNO SPARK KIVYENGINE.

Kwa mara nyengine tena inasemekana kampuni ya simu ya TECNO ipo mbioni kuachia simu mpya ikidhaniwa kuwa ni muendelezo wa toleo la spark. Tetesi zimekua zikizaga kwa wingi zaidi hasa mitandaoni na inasemekana simu hiyo kuingia sokoni tarehe 14/6/2018. Na ... Read More »

June 01, 2018 0