Header


March 6, 2017

QS Mhonda amshika pabaya Q Chief

Bosi wa lebo ya muziki ya J Entertainment, QS Mhonda amefunguka na kusema atamuomba radhi msanii aliyekuwa chini yake, Q-Chief endapo atabaini kuwa alimkosea msanii huyo lakini pia amemtaka Q Chief kufanya hivyo endapo ataona alichokifanya hakikuwa sawa. Akizungumza na EATV ... Read More »

March 06, 2017 0