HeaderMarch 6, 2017

Nike wamponza Pierre-Emerick Aubameyang

Klabu ya Borussia Dortmund ipo mbioni kuzungumza na Pierre-Emerick Aubameyang kubadilisha muonekano wa nywele ambao ulikuwa na ishara ya kuonesha alama ya Nike ambao ndiyo wadhamini wake binafsi kwenye mchezo dhidi ya Bayer Leverkusen. Aubameyang kwenye nywele zake alionekana kuwa ... Read More »

March 06, 2017 0