Header


February 11, 2017

Lulu Diva-‘Sero ni zaidi ya Shule’

Baada ya kuonja joto la sero kwa siku kadhaa, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ ameibuka na kusema sero ni shule kwani amejifunza mambo mengi. Lulu Diva amesema kwenye maisha yake hakuwahi kutegemea kuingizwa sero lakini kwa muda aliokaa, ... Read More »

February 11, 2017 0