Header


February 1, 2017

Nicki Minaj arudiana rasmi na Drake??

Unaambiwa mapenzi Mubashara!! Baada ya kumwagana na Meek Mill mrembo Nicki Minaj amethibitisha ukle msemo usemao ukiona cha nini wenzio wanauliza watakipata lini kwani Drake ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa na mrembo huyo tangia mwaka mmoja upite sasa. Nick ... Read More »

February 01, 2017 0