Header

davidoFebruary 17, 2017

MUSIC VIDEO: Davido – IF

Msanii kutoka Nigeria Davido ameachia video ya ngoma yake mpya ya ya 'IF',na mdundo wa hii ngoma umetengenezwa na Tekno na Video kuongozwa na Director Q.Tazama video hapa chini kisha acha maoni yako https://youtu.be/helEv0kGHd4

February 17, 2017 0