Header

wizkid


March 2, 2017

MUSIC VIDEO: Wizkid – Sweet Love

Mapema baada ya kutangaza kusainiwa na Sony Music Global Wizkid ameachia wimbo wa Kwanza akiwa chini ya Sony unaoitwa 'Sweet Love' na wimbo huo umeunganishwa vipande vya karibia nchi sita ambazo amesha wahi kuperfom.Tazama video hiyo hapa chini https://youtu.be/yFTaNokK4cU

March 02, 2017 0February 18, 2017

Miley Cyrus ampa shavu nono Wizkid

Msanii kutoka Nigeria Wizkid bado anaendelea kupata mashavu kutoka kwa Wasanii wakubwa kabisa Duniani kwani mwaka jana tuliona Kolabo zake kubwa mbili alizofanya na Chris Brown na Drake. Habari nyingine nzuri ni kwamba Wizkid amepata Shavu lingine la kushirikishwa  kwenye ... Read More »

February 18, 2017 0